Jeshi la Taifa la Congo, FARDC kuwasaka Maimai Yakutumba

Wakati ambapo Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) inajiandaa kufanya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu wa 2018, kumeripotiwa mapambano mapya kati ya jeshi la taifa (FARDC) na kundi la Maimai maeneo ya Lulenge. Mapambano hayo yameripotiwa kuaanza tarehe 19 hadi 21 mwezi huu wa tatu tarafani FIZI, mukowa wa Kivu ya Kusini, Mashariki mwa Congo.… Read the rest “Jeshi la Taifa la Congo, FARDC kuwasaka Maimai Yakutumba”