Misisi-Fizi: Wachimba Madini takribani 20 wasemekana kufariki

March 26, 2018 admin 0

Wachimba madini wanaozaniwa kuwa ishirini (20) wasemekana kuwa wamepoteza maisha yawo hiyo jana, jumatatu 26/03/2018 huko Misisi, terriroire ya Fizi (Kivu ya Kusini).

Kwa mujibu wa viongozi wa serekali eneo hilo, ajali hiyo lilitokea katika migodi inayo itwa Ndende, na imetokana na mmomonyoko wa arzi ulio waangukiya wachimba madini.… Read the rest “Misisi-Fizi: Wachimba Madini takribani 20 wasemekana kufariki”